Fanya SACCOs yako ifaidike zaidi

Suluhisho letu la Wakandi linasaidia SACCOs na taasisi ndogo za kifedha kukumbatia tekinolojia kwa ukuaji mzuri zaidi.

SACCOs and microfinance institutions are already using our solution

EIJ SACCOS

KKKT SACCOS

Kagera Microfinance

Ni nini unaweza kufanya na Wakandi?

Slide 1

Weka fedha kwa mwezi / wiki kutumia simu ya mkononi kwa usalama zaidi

Wakandi for SACCOs Tanzania
Slide 1

Fuatilia akiba na miamala ya mikopo yote kupitia kumbukumbu zilozowekwa kiautomatiki

Wakandi for SACCOs Tanzania
Slide 1

Fanya maombi ya mkopo papo hapo kwa usindikaji wa haraka na juhudi ndogo za makaratasi

Wakandi for SACCOs Tanzania
Slide 1

Mapitio ya haraka ya maombi ya mkopo na utoaji wa kiasi hicho kwa mibofyo michache

Wakandi for SACCOs Tanzania
Slide 1

Punguza juhudi za mkono za kiutendaji na simamia fedha kiurahisi

Wakandi for SACCOs Tanzania
previous arrow
next arrow

Wakandi ni zana yenye nguvu ya kusaidia SACCOs yako kujiendesha kiulaini na kiurahisi

Kasi na Usalama wa kazi

Kasi bora zaidi na usalama kwenye malipo, utoaji mikopo, usajili wa wanachama, malipo ya gawio na vingine vyote vinavyosaidia SACCOs kukua.

Kufuata mamlaka za Udhibiti

Kuwa kidigitali maana yake kuwa mfwatishaji wa sheria za sasa na kanuni na kuhakikisha mabadiliko ya kasi sambamba na kanuni za baadae.

Taarifa za kifedha

Taarifa za kifedha zinaweza kufumwa na kujizalisha zinazohitajika na shirika la serekali na wadhibiti.

Mapinduzi ya kidijitali

Teknolojia inaongeza kasi ya mabadiiliko kwa mamilioni ya kaya. Chukua hatua mbele zaid na Wakandi na fanya huduma zako kwa uharaka na usalama zaidi.

Fungua uwezo wa kidijitali kwa kutumia suluhisho maalum

 • Uundaji wa SACCOs mtandaoni
 • Usajili wa mwanachama papo hapo
 • Paneli ya watendaji
 • Usimamizi wa akiba/michango
 • Usimamizi wa mikopo
 • Majukumu na vidhibiti
 • Usimamizi wa akaunti ya mwanachama
 • Maombi ya mkopo mtandaoni
 • Usaidizi wa kumjua mteja wako
 • Utunzaji wa kumbukumbu kiautomatiki
 • Ujumbe mfupi na taarifa shinikizi
 • Malipo kupitia mitandao ya simu
 • Usaidizi wa waleti za mitandao ya simu mbalimbali
 • Taarifa za kifedha
 • Msaada kwa wateja
 • Utengenezwaji wa taasisi ndogo ya kifedha
 • Usajili wa mteja papo hapo
 • Paneli ya mtendaji
 • Usimamizi wa mikopo
 • Majukumu na Udhibiti
 • Maombi ya mkopo mtandaoni
 • Kituo cha mkopo wa makundi
 • Usimamizi wa akaunti ya mwanachama
 • Usaidizi wa kumjua mteja wako
 • Utunzaji wa kumbukumbu kiautomatiki
 • Ujumbe mfupi na taarifa shinikizi
 • Malipo kupitia mitandao ya simu
 • Usaidizi wa waleti za mitandao ya simu mbalimbali
 • Taarifa za kifedha
 • Msaada kwa wateja

Wakandi imetengenezwa salama na Teknolojia ya usambazaji wa leja (DLT)

Wakandi inatumia Teknolojia ya usambazaji wa leja (DLT) kuleta usalama kwenye msingi wa kazi inazotoa. Tunadhamiria kutoa usalama wa hali ya juu na uwazi kwa SACCOs kadri zinavyosogea kwenye safari yao ya kidigitali.

Usalama

Uaminifu

Uwazi

“Mfumo umetengenezwa vyema na unafanya kazi. Utasaidia kuchanganua umahiri wa kifedha wa SACCOs na kurekebisha makosa yaliyogundulika.”

Mr Josephat Damas Kisamalala

Mrajis msaidizi, Tume ya maendeleo ya Ushirika (TCDC)

Ukuaji wako ni muhimu kwetu!

Jiunge Wakandi na uanze safari yako ya kidigitali leo.