Hatua muhimu ya bidhaa
Kuna maendeleo mengi ya kusisimua yanakuja kwaajili ya solusheni yetu ya Wakandi! Tazama chini kwa mtazamo wa nini cha kutarajia.
Toleo la 1 modali ya kutoa taarifa (kulingana na mahitaji ya Ushirika)
Ukamilishaji wa modali ya kutoa taarifa ( kulingana na mahitaji ya Ushirika)
Usitishwaji wa mtumiaji na kurudishwa kwa michango
Uwezo wa kutumia Tigopesa kama mtoa huduma wa kifedha
Uwezo wa kutumia Airtel kama mtoa huduma wa kifedha
Uwezo wa kuhamisha michango kutumia fedha taslim
Uwezo wa kupokea mkopo wako ulioidhinishwa kama fedha taslim
Uwezo wa kulipia mkopo wako kwa kutumia fedha taslim
Uwezo wa kumfuta mwanachama
Uwezo wa kurudisha mchango
Uwezo wa mwanachama kuomba kuondoka kwenye SACCOs
Uwezo wa mwanachama kuona hali ya taratibu za kuondoka kwenye SACCOS
Paneli bora zaidi ya watendaji
Kipengele cha tabia ya ulipaji wa wanachama (Kiasi cha michango iliyohamishwa, kiasi cha mikopo kilichobaki, mikopo iliyochelewa)
Orodha ya miamala na taarifa zake kwa kina (namna bora ya kuangalia miamala miamala yote kwenye muonekano mmoja)
Uwekaji wa fedha zingine halafu mikopo (mf. ada ya mwanachama na ada nyingine za shirika)
Uwezo wa kurekebisha ada nyingine zilipwe na mwanachama kutoka kwenye paneli ya watendaji
Uwezo wa wanachama kulipa ada
Uwezo wa kuangalia muhtasari wa ada iliyolipwa na mwanachama
Uwezeshaji wa nyaraka za kisheria za SACCOs
Kushirikisha makubaliano ya mkopo na wanachama
Kufichua sheria na masharti za SACCOs kwa wanachama
Kushirikisha kanuni za ukopaji na mahitaji ya nyaraka zingine zinazohitajika
Uwekaji wa hisa
Muhtasari wa hisa kwenye paneli ya watendaji
Urejeshaji wa hisa wakati wa kumaliza uanachama
Kuhusu sera ya SACCOS
Kuhusu sera ya uanachama hai
Sera ya bidhaa za mkopo
Uhamishaji wa taarifa za kifedha
Maombi ya mwanachama mpya
Lugha bora ya Kiswahili
Taarifa zaidi zilizohifadhiwa juu ya wanachama
Nambari za kanuni za uhasibu
Mchakato wa ukusanyaji wenye mabadiliko bora zaidi
Mtiririko wa mawasiliano na wanachama
Bajeti bora zaidi na mfumo wa kiuhasibu
Idhinisho la mtendaji mkuu kwenye mabadiliko yaliyofanywa katika mfumo
Mikopo dhidi ya hisa, amana na akiba
Malipo kwa kiasi na ujaziliziwaji wa akaunti
Usimamizi wa wanachama (watoto)
Kuondoa uanachama hai
Manunuzi na usimamizi wa bima
Mchakato wa juu zaidi wa wadhamini
Kujitoa kwenye SACCOS
Uachiwaji wa toleo 1.1 la taasisi ndogo za kifedha
Utekelezwaji wa modali ya kutoa taarifa
Uwezo wa kutumia Tigopesa kama mtoa huduma wa kifedha
Uwezo wa kutumia Airtel kama mtoa huduma wa kifedha
Uwezo wa kupokea mkopo wako uliothibitishwa kama fedha taslim
Uwezo wa kurejesha mkopo wako kama fedha taslim
Hamisho la amana za usalama
Urejeshwaji wa amana za usalama
Usanidi wa amana za usalama
Paneli bora zaidi ya watendaji
Kipengele cha tabia za ulipaji za mwanachama (kiasi cha mkopo ambacho hakijalipwa, mikopo iliyoharibika)
Orodha ya miamala na taarifa zake kwa kina (namna bora ya kuangalia miamala – miamala yote kwenye mtazamo mmoja
Uwekaji wa fedha nyingine halafu mikopo (mf. ada ya uanachama na ada nyingine za taasisi)
Uwezo wa kusanidi ada nyingine zitakazolipwa na mwanachama kutoka kwenye paneli ya watendaji
Uwezo wa wanachama kulipa ada
Uwezo wa kutazama muhtasari wa ada zilizolipwa na mwanachama
Uwezeshwaji wa hati za kisheria za taasisi ndogo za kifedha
Ushirikishaji wa mikataba ya mikopo na wanachama
Ufichuaji wa kanuni na masharti ya taasisi ndogo ya kifedha kwa wanachama
Ushirikishaji wa kanuni za kukopa kwa wanachama pamoja na uhitaji wa nyaraka nyingine
Toleo la kwanza la taarifa za mahitaji ya benki kuu
Tutasahihisha ratiba hii mara kwa mara, kuonesha mabadiliko muhimu.